Yeremia 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mwenyezi-Mungu akaunyosha mkono wake, akagusa kinywa changu, akaniambia,“Tazama nimeyatia maneno yangu kinywani mwako.

Yeremia 1

Yeremia 1:1-12