Wimbo Ulio Bora 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Laiti ungekuwa kaka yangu,ambaye amenyonyeshwa na mama yangu!Hivyo, hata kama ningekutana nawe nje,ningekubusu na hakuna ambaye angenidharau.

Wimbo Ulio Bora 8

Wimbo Ulio Bora 8:1-7