Wimbo Ulio Bora 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Shingo yako ni kama mnara wa pembe za ndovu;macho yako ni kama vidimbwi mjini Heshboni,karibu na mlango wa Beth-rabi.Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni,ambao unauelekea mji wa Damasko.

Wimbo Ulio Bora 7

Wimbo Ulio Bora 7:1-7