Wimbo Ulio Bora 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Tutaamka mapema, twende kwenye mashamba ya mizabibu,tukaone kama imeanza kuchipua,na kama maua ya zabibu yamekwisha kuchanua,pia kama mikomamanga imeanza kutoa maua.Huko ndiko nitakapokupatia pendo langu.

Wimbo Ulio Bora 7

Wimbo Ulio Bora 7:2-13