Wimbo Ulio Bora 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu,amevalia johari za Tarshishi.Kiwiliwili chake ni kama pembe za ndovuzilizopambwa kwa vito vya johari ya rangi ya samawati.

Wimbo Ulio Bora 5

Wimbo Ulio Bora 5:4-15