Wimbo Ulio Bora 4:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Njoo, bibiarusi wangu tuondoke Lebanoni;na tuiachilie mbali Lebanoni.Shuka toka kilele cha mlima Amana,toka kilele cha Seniri na Hermoni,toka mapango ya simba,toka milima ya chui.

Wimbo Ulio Bora 4

Wimbo Ulio Bora 4:1-12