Wimbo Ulio Bora 4:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Midomo yako yadondosha asali, ee bibiarusi wangu;ulimi wako una asali na maziwa.Harufu nzuri ya mavazi yako ni kama ya Lebanoni.

Wimbo Ulio Bora 4

Wimbo Ulio Bora 4:2-16