Wimbo Ulio Bora 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Tazama! Ni machela ya Solomoni;amebebwa juu ya kiti chake cha enzi;amezungukwa na walinzi sitini,mashujaa bora wa Israeli.

Wimbo Ulio Bora 3

Wimbo Ulio Bora 3:1-11