Wimbo Ulio Bora 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Mpenzi wangu ni kama paa,ni kama swala mchanga.Amesimama karibu na ukuta wetu,achungulia dirishani,atazama kimiani.

Wimbo Ulio Bora 2

Wimbo Ulio Bora 2:1-12