Wimbo Ulio Bora 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nawasihi enyi wanawake wa Yerusalemu,kama walivyo paa au swala wa porini,msiyachochee wala kuyaamsha mapenzi,hadi hapo wakati wake utakapofika.

Wimbo Ulio Bora 2

Wimbo Ulio Bora 2:1-17