Wimbo Ulio Bora 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama mtofaa kati ya miti ya msituni,ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wavulana.Nafurahia kuketi chini ya kivuli chake,na tunda lake tamu sana kwangu.

Wimbo Ulio Bora 2

Wimbo Ulio Bora 2:1-7