Wimbo Ulio Bora 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Ewe upendezaye kuliko wanawake wote;kama hujui, fanya hivi:Zifuate nyayo za kondoo;basi, walishe mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.

Wimbo Ulio Bora 1

Wimbo Ulio Bora 1:4-12