Wimbo Ulio Bora 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Msinishangae kwa sababu ni mweusi,maana jua limenichoma.Ndugu zangu walinikasirikia,wakanifanya mlinzi wa mashamba ya mizabibu.Lakini sikutunza shamba langu la mizabibu.

Wimbo Ulio Bora 1

Wimbo Ulio Bora 1:1-12