Wimbo Ulio Bora 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Nichukue, twende zetu haraka,mfalme amenileta katika chumba chake.Tutafurahi na kushangilia kwa sababu yako,tutasifu mapenzi yako kuliko divai.Wanawake wana haki kukupenda!

Wimbo Ulio Bora 1

Wimbo Ulio Bora 1:2-8