Waroma 3:15-17 Biblia Habari Njema (BHN) Miguu yao iko mbioni kumwaga damu, popote waendapo husababisha maafa na mateso; njia ya amani hawaijui.