Walawi 3:10-14 Biblia Habari Njema (BHN)

10. zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini.

11. Kuhani ataviteketeza hivyo vyote juu ya madhabahu kama chakula anachotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto.

12. “Kama sadaka yake ni mbuzi, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu

13. akiweka mkono wake juu ya kichwa cha mnyama huyo na kumchinja mbele ya hema la mkutano. Wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu yake pande zake zote.

14. Kisha, mafuta yote yanayofunika matumbo

Walawi 3