Walawi 20:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama mtu akilala na mke wa baba yake, mkubwa au mdogo, anamwaibisha baba yake mkubwa au mdogo; wote wawili watawajibika kwa dhambi yao; wote wawili watakufa bila watoto.

Walawi 20

Walawi 20:11-27