Walawi 15:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtu yeyote atakayegusa kitanda cha huyo mwanamke ni lazima ayafue mavazi yake na kuoga kwa maji; naye atakuwa najisi mpaka jioni.

Walawi 15

Walawi 15:13-31