Waamuzi 20:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivyo watu wa kabila la Benyamini wakaona kwamba wameshindwa.Waisraeli walirudi nyuma kana kwamba wanawakimbia watu wa kabila la Benyamini, kwani walitegemea wenzao waliokuwa wamewekwa kuotea mji wa Gibea.

Waamuzi 20

Waamuzi 20:34-39