Waamuzi 16:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndugu zake na jamaa yake yote wakaja kumchukua; wakamzika katikati ya mji wa Sora na mji wa Eshtaoli katika kaburi la Manoa, baba yake. Samsoni alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini.

Waamuzi 16

Waamuzi 16:23-31