Waamuzi 15:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Baada ya muda fulani, wakati wa mavuno ya ngano, Samsoni alichukua mwanambuzi, akaenda kumtembelea mkewe. Akamwambia baba mkwe wake kwamba anataka kumwona mke wake chumbani mwake. Lakini baba mkwe hakumruhusu,

Waamuzi 15

Waamuzi 15:1-9