Waamuzi 11:39 Biblia Habari Njema (BHN)

Baada ya miezi miwili akarudi nyumbani; kisha baba yake akamtendea kulingana na nadhiri yake. Msichana huyo hakuwa amemjua mwanamume yeyote. Basi, tangu wakati huo kukawa na desturi hii katika Israeli:

Waamuzi 11

Waamuzi 11:33-40