Waamuzi 1:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa kabila la Asheri hawakuwafukuza wakazi wa miji ya Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeka na Rehobu.

Waamuzi 1

Waamuzi 1:25-36