Waamuzi 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini watu wa kabila la Benyamini hawakuwafukuza Wayebusi waliokaa mjini Yerusalemu; ndiyo maana Wayebusi wanakaa pamoja na watu wa kabila la Benyamini mjini Yerusalemu mpaka leo.

Waamuzi 1

Waamuzi 1:18-30