Ufunuo 5:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, wakaimba wimbo huu mpya:“Wewe wastahili kukitwaa hicho kitabuna kuivunja mihuri yake.Kwa sababu wewe umechinjwa,na kwa damu yako umemnunulia Mungu wetuwatu kutoka kila kabila, lugha, jamaa na taifa.

Ufunuo 5

Ufunuo 5:6-11