Ufunuo 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)

“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa!“Mshindi nitamjalia kula matunda ya mti wa uhai ulioko ndani ya bustani ya Mungu.

Ufunuo 2

Ufunuo 2:1-15