Ufunuo 18:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema,“Watu wangu, ondokeni kwake,ili msishirikiane naye katika dhambi zake,msije mkaipata adhabu yake.

Ufunuo 18

Ufunuo 18:1-6