Sefania 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilisema, ‘Hakika mji huu watanichana kukubali kukosolewa;hautaacha kukumbuka mara hizo zote nilizowaadhibu.’Lakini watu wake walizidisha tamaa zaoza kufanya matendo yao kuwa upotovu.

Sefania 3

Sefania 3:6-14