Sefania 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtafuteni Mwenyezi-Mungu enyi wanyenyekevu wote nchini,enyi mnaozitii amri zake.Tafuteni uadilifu, tafuteni unyenyekevu;labda mtaiepa siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu.

Sefania 2

Sefania 2:1-7