Ruthu 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Ruthu akamjibu,“Usinisihi nikuache wewe,wala usinizuie kufuatana nawe.Kokote utakakokwenda ndiko nami nitakakokwenda,na ukaapo nitakaa,watu wako watakuwa watu wangu,na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.

Ruthu 1

Ruthu 1:15-20