Obadia 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Wazawa wa Yakobo watakuwa kama motona wazawa wa Yosefu kama miali ya moto.Watawaangamiza wazawa wa Esaukama vile moto uteketezavyo mabua makavu,asinusurike hata mmoja wao.Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.

Obadia 1

Obadia 1:15-21