Nehemia 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Walipokuwa na njaa,ukawapa chakula kutoka mbinguni.Walipokuwa na kiuukawapa maji kutoka kwenye mwamba.Ukawaagiza kuichukua nchi uliyokuwa umewaahidi.

Nehemia 9

Nehemia 9:6-18