Nehemia 9:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Ulifanya ishara na maajabu dhidi ya Farao,watumishi wake wotena watu wote wa nchi yake;kwani ulijua kuwawaliwakandamiza babu zetu.Ukajipatia umaarufu uliopo mpaka leo.

Nehemia 9

Nehemia 9:2-15