Nehemia 7:7-24 Biblia Habari Njema (BHN)

7. Waliporudi waliongozwa na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Azaria, Raamia, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Misperethi, Bigwai, Nehumu na Baana. Ifuatayo ni idadi ya watu wa koo za Israeli waliorudi toka uhamishoni:

8. Watu wa ukoo wa Paroshi: 2,172;

9. wa ukoo wa Shefatia: 372;

10. wa ukoo wa Ara: 652;

11. wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818;

12. wa ukoo wa Elamu: 1,254;

13. wa ukoo wa Zatu: 845;

14. wa ukoo wa Zakai: 760;

15. wa ukoo wa Binui: 648;

16. wa ukoo wa Bebai: 624;

17. wa ukoo wa Azgadi: 2,322;

18. wa ukoo wa Adonikamu: 667;

19. wa ukoo wa Bigwai: 2,067;

20. wa ukoo wa Adini: 655;

21. wa ukoo wa Ateri (ambao pia unaitwa Hezekia): 98;

22. wa ukoo wa Hashumu: 328;

23. wa ukoo wa Bezai: 324;

24. wa ukoo wa Harifu: 112;

Nehemia 7