Nehemia 12:35 Biblia Habari Njema (BHN)

Wazawa wafuatao wa makuhani walikuwa na tarumbeta: Zekaria, mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya aliyekuwa mwana wa Matania, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu.

Nehemia 12

Nehemia 12:31-38