Nehemia 11:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wengine walikaa katika miji karibu na mashamba yao. Baadhi ya watu wa kabila la Yuda walikaa Kiriath-arba, Diboni na Yekabzeeli pamoja na vijiji vilivyoizunguka.

Nehemia 11

Nehemia 11:21-33