Nehemia 11:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao Walawi waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, na mwana wa Buni.

Nehemia 11

Nehemia 11:14-22