Nehemia 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Ee Bwana, yasikie maombi yangu mimi mtumishi wako na ya watumishi wako wanaofurahia kukutii wewe. Nakuomba unifanikishe leo, mimi mtumishi wako, na kunijalia kuhurumiwa na mfalme.”Basi, mimi nilikuwa na jukumu la kumpa mfalme kinywaji.

Nehemia 1

Nehemia 1:3-11