Nahumu 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha wote watakaokuona watakukimbia wakisema,“Ninewi umeangamizwa,ni nani atakayeuombolezea?Nani atakayekufariji?”

Nahumu 3

Nahumu 3:1-15