Nahumu 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Ninewi! Wewe umekuwa kama malaya.Umewashawishi watu, ewe binti wa uchawi,uliyeyafanya mataifa kuwa watumwa kwa umalaya wako,na watu wa mataifa kwa uchawi wako.

Nahumu 3

Nahumu 3:1-9