Nahumu 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Hakuna wa kuyapa nafuu majeraha yako,vidonda vyako ni vya kifo.Wote wanaosikia habari zako wanashangilia.Maana ni nani aliyeuepa ukatili wako usio na kikomo?

Nahumu 3

Nahumu 3:15-19