Nahumu 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakuu wako ni kama panzi,maofisa wako kama kundi la nzige;wakati wa baridi wanakaa kwenye kuta,lakini jua lichomozapo, huruka,wala hakuna ajuaye walikokwenda.

Nahumu 3

Nahumu 3:7-19