Nahumu 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata hivyo, ulichukuliwa mateka,watu wake wakapelekwa uhamishoni.Hata watoto wake walipondwapondwakatika pembe ya kila barabara;watu wake mashuhuri walinadiwa,wakuu wake wote walifungwa minyororo.

Nahumu 3

Nahumu 3:1-16