Nahumu 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Limekuwaje basi hilo pango la simba,hilo lililokuwa maficho ya wanasimba?Pamekuwaje hapo mahali pa simba,mahali pa wanasimba ambapo hakuna aliyeweza kuwashtua?

Nahumu 2

Nahumu 2:2-13