Nahumu 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ni mwema,yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu.Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake.

Nahumu 1

Nahumu 1:1-15