Nahumu 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wake:“Ingawa Waashuru ni wengi na wenye nguvu,wao wataangushwa na kuangamizwa.Ingawa nimewatesa nyinyi watu wangu,sitawateseni tena zaidi.

Nahumu 1

Nahumu 1:4-15