Mwanzo 49:9 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wewe Yuda, mwanangu, ni kama mwanasimbaambaye amepata mawindo yake akapanda juu.Kama simba hujinyosha na kulala chini;simba mwenye nguvu, nani athubutuye kumwamsha?

Mwanzo 49

Mwanzo 49:8-13