lakini mimi sitashiriki njama zao;ee roho yangu, usishiriki mikutano yao,maana, katika hasira yao, walimuua mtu,kwa utundu wao walikata mshipa wa ng'ombe.