Mwanzo 49:4 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wewe ni kama maji ya mafuriko.Lakini hutakuwa wa kwanza tena,maana ulipanda kitandani mwangu mimi baba yako,wewe ulikitia najisi;naam wewe ulikipanda!

Mwanzo 49

Mwanzo 49:1-7