Mwanzo 36:29-32 Biblia Habari Njema (BHN)

29. Basi, hao ndio wakuu wa Wahori: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,

30. Dishoni, Eseri na Dishani; kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake katika nchi ya Seiri.

31. Wafuatao ni wafalme waliotawala nchi ya Edomu, kabla mfalme yeyote hajawatawala Waisraeli:

32. Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba.

Mwanzo 36